Download to contribute Developers / developers of my Islam App
بسم الله الرحمن الرحيم
Jiunge na wengine wanaochangia sadaka zao kwa ajili ya waliojitolea kutengeneza na kuiendeleza program ya Uislamu wangu na Mawaidha Tune Apps.
Allah akusafishie nia yako na akujaalie kila lililo kheri na mwisho mwema akupatie.
Tunamuomba Allah atusafishie nia zetu na afanye a'amal yetu as-sababu ya kupata jannat