下载 APKPure App
可在安卓获取MAKAZI的历史版本
Ramani za Nyumba,Makadirio,Mafundi,Ushauri,Viwanja,Vifaa ktk Ujenzi Makazi!
MAKAZI ni mtandao mahususi Afrika Mashariki unakuletea huduma za ujenzi makazi jirani na wewe muda wote kupitia simu yako ili uweze kufanikisha ujenzi wa nyumba ya ndoto yako kwa UBORA,UHAKIKA na UNAFUU zaidi!
Fanikisha Nyumba ya Ndoto Yako Sasa!
Kupitia MAKAZI waweza pata huduma za Ramani za nyumba za kisasa,Ushauri wa haraka kutoka kwa wataalamu,Kuunganishwa na mafundi ujenzi,Kufanya makadirio ya gharama na vifaa,Kuunganishwa na wauzaji wa vifaa na viwanja vya makazi。 Huduma hizi zinaendelea kuboreshwa na kusambazwa ili ziweze kuwafikia na kuwanufaisha wengi zaidi。
Baadhi ya vitu vilivyosukuma kuileta MAKAZI kwako ni kutokana na watu wengi kukosa msaada wa haraka wa wataalamu makazi hivyo hujikuta wakifanya ujenzi wao ktk kiwango duni na mara nyingine kutumia fedha nyingi zaidi ya inavyotakitawa。 Tukitumia nguvu ya mtandao twaweza wafikia watu wengi zaidi na wakapata taarifa nzuri zaidi zitakazo wasaidia kufanikisha ujenzi wao ktk ubora mzuri。 Sisi tunakupa HAMASA ya ujenzi wa nyumba ya ndoto yako!
Anza kufanikisha nyumba ya ndoto yako sasa!
Ramani za Nyumba,Makadirio,Ushauri,Mafundi,Vifaa,Viwanja ......!
Last updated on 2020年01月21日
Fast search feature
Questions and answers
Fix broken links
MAKAZI
3.7.0 by Drimhomz Informatics Company
2023年08月14日