Use APKPure App
Get App ya ufugaji old version APK for Android
Jiajiri kwa kufuga na kulima kibiashara ukiwa na app ya ufugaji ya kwanza Tz
Ukitaka kujiajiri basi weka app ya ufugaji kwenye simu yako upate mafunzo jinsi unavyoweza kuanza biashara ya ufugaji kuku, bata, bata mzinga, njiwa, kanga, kware, mbuzi, ng'ombe, kondoo, mbwa, sungura, paka na mifugo mingine
App hii inakufundisha ufugaji na matibabu ya mifugo ya aina zote pamoja na mafunzo ya kilimo bora cha mazao yote kama mahindi, mpunga, tikiti maji, nyanya, vitunguu,matunda na mimea mingine yote. Iweke sasa kwenye simu yako bonyeza install hapo juu
Last updated on Mar 3, 2019
Ukitaka kujiajiri basi weka app ya ufugaji kwenye simu yako upate mafunzo jinsi unavyoweza kuanza biashara ya ufugaji kuku, bata, bata mzinga, njiwa, kanga, kware, mbuzi, ng'ombe, na mifugo mingine
App hii inakufundisha ufugaji na matibabu ya mifugo ya aina zote pamoja na mafunzo ya kilimo bora cha mazao yote kama mahindi, mpunga, tikiti maji, matunda na mimea mingine yote. Iweke sasa kwenye simu yako bonyeza install hapo juu
Uploaded by
Chit Oo
Requires Android
Android 4.2+
Category
Report
App ya ufugaji
1.0 by UmojaApps
Mar 3, 2019