Use APKPure App
Get BBC Swahili Sikiliza Sasa Redi old version APK for Android
Sikiliza moja kwa moja vipindi vyako vyote
Kwa Habari za Kiswahili zinazojiri katika mataifa yote ya Afrika na duniani kote, tembelea BBC Kiswahili na upate habari.
Vipindi mbalimbali kama, Habari za Redio, Burudani, habari za michezo duniani kote, Matukio yote yanapatikana na kuripotiwa kupitia chaneli hii ya App inayoripoti kwa Kiswahili fasaha.
Pata chaneli hii ya Programu kwa matukio ya ulimwengu inayojumuisha siasa, uchumi, michezo, kijamii, burudani na shughuli zote za taarifa.
Usikose vipindi vya moja kwa moja, sikiliza wakati wote masaa 24 kwa siku, wakati wote, popote ulipo.
Last updated on 01/06/2022
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Android متطلبات النظام
4.4
الإبلاغ
BBC Swahili Sikiliza Sasa Redi
1.0 by Citizen Apps Holdings
01/06/2022