Use APKPure App
Get BUNGE LA TANZANIA old version APK for Android
Aplikesheni ya Bunge la Tanzania kwa ajili ya kutoa taarifa kwa watumiaji wote.
Aplikesheni hii ilitengezwa kwa kusudi ya kukuletea taarida kutoka kwenye tovuti ya bunge na kuzileta katika mwonekano wa simu za mkononi. Matumizi ya aplikesheni hii inasaidia watumiaji kutazama taarifa za bunge la Tanzania katika hali iliyobora na ya haraka zaidi.
Aplikesheni hii ilitengezwa ili kuleta ubora katika upatikanaji wa taarifa za bunge la Tanzania kwa kutumia kiwango kidogo sana cha mtandao wa intaneti. Aplikesheni hii pia imetengezwa kusaidia hata wakati ambapo mtumiaji hana mtandao bado anaweza kuona badhii ya taarifa ambazo alikwishawahi kuzipitia wakati akiwa na mtandao.
This application was designed purposely to fetch the information from the parliament website and display the content to the mobile phone clients. The use of application help the users to view all the information about the parliament of Tanzania in an optimized way.
The Application is designed to improve performance and help the mobile phone clients to consume very reason data to see the content. The application is also designed to operate even when the internet access is low. Furthermore the Application stores the necessary data in the offline mode when the client has no data or internet access still can see the stored data.
Last updated on 21/10/2019
For the purpose of improving the client view, we have updated our application and the following changes were made-;
* Instant notification enabled
* Performance improved
* Fab shortcut error fixed
* Search enabled
* Easy download
* Bugs fixed
محمل
Patrick Artur
Android متطلبات النظام
Android 4.2+
الفئة
الإبلاغ
BUNGE LA TANZANIA
Development V 0.0.0001 by Unikrag Company Limited
21/10/2019