Use APKPure App
Get Nyimbo Za Kristo old version APK for Android
Nakala ya nyimbo za ibada za waadventista wasabato kwa lugha y kiswahili.
Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 kutoka katika kitabu cha Nyimbo za Kristo cha kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili kama kilivyohaririwa na kuchapwa na TANZANIA (ADVENTIST).
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote، Nyimbo za kuburudisha، kutia moyo na kukufariji wakati wa huzuni.
برنامج Sifa za ni kama zifuatazo: -
• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa kiswahili، kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.
• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine ، pia unaweza kuondoa pale unapoona inafaa.
• Inakuwezesha kuona nyimbo kwa makundi.
• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (بفضل hymnserve.com لـ
المرافقات).
• Inakuwezesha kucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu
• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza
• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
انافة.
• Inakuwezesha kuona wimbo uliofunguliwa mara ya mwisho kwa kuangaza.
• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.
• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.
Programu hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva na Godfrey Diva kwa
أوتوكوفو وا مونجو.
Last updated on 29/12/2024
Imerekebisha baadhi ya makosa ya kiuandishi.
محمل
Ðiðiń Båñdįcøt
Android متطلبات النظام
Android 5.0+
الإبلاغ
Nyimbo Za Kristo
2 . 3 . 3 by Awesomecode Tanzania
29/12/2024