Usar o APKPure APP
Obter o APK da versão antiga de Kuku Kibiashara para Android
Pata ujuzi juu ya Ufugaji wa kuku kwa Njia za Kisasa na Kibiashara zaidi
"Fuga Kibiashara" Ni application iliyolenga kukupatia mafunzo juu ya ufugaji wa kisasa wa kuku, Sasa jipatie elimu hii buree kabisa kwa kudownload application hii.Kupitia application hii utaweza kupata masomo kila siku kuhusiana na ufugaji wa kisasa, Tiba mbalimbali za Magonjwa ya kuku, Magonjwa yanayoshambulia kuku kwa sana pamoja na chanjo zake, taarifa za soko la kuku kiujumla pamoja na soko la mayai ya kuku.Last updated on Jan 21, 2018
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Enviado por
Cricket Ds
Requer Android
Android 4.0+
Categoria
Relatório
Kuku Kibiashara
1.0 by Mbinda Technologies CO. Ltd
Jan 21, 2018