Usar o APKPure APP
Obter o APK da versão antiga de SkyGulio para Android
Nunua mahitaji ya Nyumbani na uletewe hadi Nyumbani
Hii ni app maalumu kwaajili ya kununua mahitaji ya nyumbani kama mboga za majani , matunda , viungo nk.
Kwa sasa huduma hii inapatikana kwa wakazi wa Dodoma tu.
Lakini tunategemea kuendelea kuhudumia maeneo mengine ya Tanzania.
Karibu
Last updated on Jun 22, 2019
Tumeongeza mikoa ya Mwanza na Dodoma .
kwa msaada zaidi piga simu +255 787 847 805 .
Enviado por
Danielle Jackson
Requer Android
Android 4.1+
Categoria
Relatório
SkyGulio
2.7 by TodaySky
Jun 22, 2019