Usar o APKPure APP
Obter o APK da versão antiga de Ufugaji Bora para Android
App bora kwa kujifunza Ufugaji wa Wanyama kitaalamu, ushauri mzuri wa Wataalamu
Jifunze mbinu mbalimbali za ufugaji wa wanyama mbalimbali kitaalamu kupitia App hii bora ya Ufugaji Bora
Kupitia App hii utaweza kujifunza mbinu na kanuni bora na za kitaalamu za ufugaji wa wanyama kama vile Kuku wa aina zote , Ng'ombe, mbuzi kondoo, samaki, bata, Nyuki, nguruwe
Lakini pia Kupitia App utajifunza kuhusu magonjwa mbalimbali na Tiba bora za Magonjwa ya Wanyama
Pia utaweza kupata Ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wataalamu waliobobea zaidi kwenye Ufugaji wa wanyama mbalimbali kutoka vyuo na taasisi za utafiti Tanzania na nje ya Tanzania
Usisahau kutembelea Tovuti yetu kwa anuani ifuatayo ==>>www.ufugaji.co.tz
Last updated on Feb 26, 2021
-Makala bora zaidi za Ufugaji zimeongezwa
-Makala zote za ufugaji bora wa wanyama
-Unaweza kusoma makala hata bila kuwa na Data
-Rangi za kuvutia
-Bug fixed
Enviado por
Julie Kathleen Stoddard
Requer Android
Android 5.0+
Categoria
Relatório
Ufugaji Bora
Jifunze mbinu za ufugaji kitaalamu1.0 by Chengula
Feb 26, 2021