下载 APKPure App
可在安卓获取Dada Wa Kazi的历史版本
妹妹的任务是应用程序,支持多个家庭得到姐姐的工作。
Familia nyingi nchini Tanzania zina hangaika sana kutafuta na kupata dada wa kazi. App ya Dada Wa Kazi imetengenezwa ili kukurahisishia wewe unae hangaika kutafuta dada wa kazi za ndani atakaye weza kuku saidia kazi kama vile za kupika, kufua, kufanya usafi na kuangalia watoto. Download hii app sasa uone maajabu.Last updated on 2019年10月11日
Dada wa kazi app, ni app ambayo inawezesha familia mbali mbali nchini Tanzania kupata dada wa kazi za ndani. Vile vile inarahisisha zoezi la kutafuta kazi za ndani kwa wadada wanao tafuta kazi hizo.
Dada Wa Kazi
3.0 by NyotaApps
2019年10月11日