下载 APKPure App
可在安卓获取Dua的历史版本
Jifunze dua za kiislam kwa kiswahili - Ujue uislamu kutoka katka Quran na Sunnah
Dua za kiislam kwa kiswahili App, ni App inayokuwezesha kujifunza dua mbalimbali zilizoombwa na Manabii wa Allah S.W.T.
Kupitia App hii Dua za kiislam kwa kiswahili utajifunza dua za kujikinga na maradhi,dua za kuomba utajiri,dua za kuondoa matatizo,dua za kujikinga na uchawi pamoja na wachawi / majini,dua za usiku na nyingine nyingi。
Pia utapata mawaidha ya kiislam kwa kiswahili kutoka kwa masheikh mashuhuri kama Othman maalim, Nurdin Kishki n.k
Last updated on 2023年03月24日
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Dua
za kiislam kwa kiswahili1.0 by DiraJumla
2023年03月24日