下载 APKPure App
可在安卓获取Tanzania G portals的历史版本
收集政府网站并促进信息的获取。
Katika Tanzania G portals tumekusanya tovuti mbalimbali za Serikali zikiwemo za wizara zake ili tuweze kukurahisishia wewe mtumiaji kupata taarifa za Serikali kwa wakati na wepesi bila kutumia muda kutafuta katika search engine za viperuzi au kukalili kila tovuti ya serikali.
Miongoni mwa tovuti zinazopatikana katika TGP ni zile za maombi kama Salary slip,Academic Trascript nk.
baadhi ya tovuti ni;
. Tamisemi
.Wizara ya Afya Maendeleo ya jamii jinsia,wazee na watoto
.Wizara ya Elimu
.Wizara ya Fedha
.serikali kuu
.ikulu
.Baraza la mitihani Tanzania
nk.
Tafadhali kumbuka hii sio official App ya serikali, hivyo unachoperuzi ni kile ambacho kipo katika tovuti husika. Lengo letu ni kurahisisha kwa kuzifanya zipatikane kwa urahisi ndani ya App moja.
Last updated on 2019年03月02日
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Tanzania G portals
9.2 by AkhtaarTechs
2019年03月02日