下载 APKPure App
可在安卓获取YANGA DAIMA的历史版本
App kwa Ajili Yako Wewe Mwana Yanga Inayokupa Matukio Ya Michezo Kwa Ujumla
Je wewe ni shabiki kindakindaki wa Yanga aka wa Kimataifa? Kama ni hivyo karibu sana. Ndani ya Mwana Jangwani utaweza kusoma Makala na kupata taarifa mbalimbali kuhusu klabu yako unayoipenda sana. Utaweza kupata ratiba za michezo , matokeo, mijadala na matukio mbalimbali yanayoihusu Yanga ndani na nje ya uwanja.Last updated on 2021年02月25日
Stable Release
YANGA DAIMA
1.0 by Gerald Kasanda
2021年02月25日