Usar la aplicación APKPure
Obtener Zinazosomwa versión histórica en Android
Leer información sobre el tema (tema) está interesado en el seguimiento
Zinazosomwa ni app inayokusogezea habari unazopenda kuzisoma kutoka vyanzo vikubwa mbali mbali Tanzania. Kwa mfano kama wewe unapenda tu kupata habari za michezo na burudani, basi app hii itakupa habari za michezo na burudani tu! Kama unapenda habari za siasa basi itakusogezea habari za siasa tu. Vileviel kama unapenda habari zote zile basi itakuletea habai zote!
Pia app hii inaweza kukwambia mambo gani yanavuma Tanzania na pia inaweza kukuonesha habari zipi zinasomwa sana katika siku.
Baadhi ya vyanzo vya habari ni Millard Ayo, Mwananchi, Mzlaendo, BBC Swahili, Channel 10, Dar24, Habari Leo, Mwana Spoti, Global Publishers, Mwanahalis Online, Raia Mwema, Swahili Times, VOA Swahili, Swahili Hub, Swahili Times, Perfect255, Shaffih Dauda, Udaku Specially, Dizzim Online, Bongo 5, 8020 Fashions Blog, Full Shangwe Blog, Issa Michuzi, Mitandaoni, Mjengwa Blog, Mtembezi, Habari Kwanza, Ghafla Tanzania, Dewji Blog, Kwetu Tanzania na zinginezo nyingi tunazoendelea kuziongeza
Pia app hii inaruhusu watumiaji wake kunzisha mijadala na kuchangia maoni juu ya mijadala hiyo. Pia watumiaji wanaweza kutoa maoni juu ya habari fulani waliyoisoma.
App hii inakusanya habari kila baada ya dakika moja. Hivyo watumiaji hawatapitwa na habari pindi itakapowekwa kwenye chanzo husika.
App hii inawanufaisha wamiliki wa vyanzo vya habari ama waandishi kwa kuwa inaongeza idadi ya watu watakaosoma habari husika kwani habari zote zinasomwa kwenye kurusa zake lakini ndani ya Zianazosomwa App.
Last updated on 18/08/2017
- Tatizo la video na udio kuendelea kucheza limelekebishwa
- Commenting on News
- Discussion Forum
- Maboresho ya kimuonekano
- Marekebisho ya ndani kwa ndani
**********
- Audio and Video playing problems have been fixed
- Commenting on News
- Discussion Forum
- Improved User Interface
- Internal bug fixes
Presentado por
Yunnier Serrano Diaz
Requisitos
Android 4.0.3+
Categoría
Reportar
Zinazosomwa
Habari Zinazovuma Tanzania4.1.0 by StonekApps
18/08/2017