Juma Bhalo Taarabu Player


1.0 توسط NDIFUUST MOBILE
16/05/2017

درباره‌ی Juma Bhalo Taarabu Player

taarabu za zamani zilizoimbwa na Juma Bhalo kama*Mtumai cha ndugu+ nyinginezo

Juma Bhalo Taarabu Player ni app inayokuletea mkusanyiko wa taarabu zilizoimbwa na juma bhalo.Taarabu player inajumuisha nyimbo nyingi za JUMA Bhalo .Haichukui nafasi kubwa katika simu ingawa inahitaji internet ili iweze kutumika.

Taarabu player ni toleo la kwanza ambalo limejumuisha nyimbo zifuatazo:

+Mtumai cha nduguye hufa masikini

+Nalia na moyo

+Sitochoka lakini naona taabu

+Waja mlilia Mama

+SWAHIBA WANITUPA

+Niata niandame yangu mateso

+Muungwana ni ahadi

+mUNGA FANYA INDA

+MASIKINI JURA

+MAKOSA NI YAKO

Endelea kutumi app hii kwa kuwa tutaongeza nyimbo nyingine zaidi hivi karibuni.

اطلاعات تکمیلی برنامه

آخرین نسخه

1.0

بارگذاری شده توسط

Arshad Argoshi

نیاز به اندروید

Android 4.0.3+

گزارش

گزارش محتوای نامناسب

نمایش بیشتر

جایگزین Juma Bhalo Taarabu Player

از NDIFUUST MOBILE بیشتر دریافت کنید

کشف کنید