از برنامه APKPure استفاده کنید
نسخه قدیمی APK Maarifa365 را برای اندروید بگیرید
This App is for harnessing various knowledge in life; health, economy, etc.
Maarifa 365,
ni app (program tumishi) kwa ajili ya kuongeza maarifa kila siku ili kuongeza ufanisi wa kazi, familia ama kuongeza kipato, kila siku ni vema kujifunza jambo.
katika app hii unaweza kushare au kutoa elimu uliyonayo na maarifa kuwasaidia wengine lakini pia unaweza kujifunza kitu kutoka katika app hii.
yaliyopo;
>Forums mbalimbali, mfano,
-Uchumi, na ujasiliamali
>Afya na lishe
-familia na ndoa pamoja na mahusiano
-Technolojia
-Kilimo na ufugaji
-Michezo
-Dini/Imani
-Taaluma
-kuuza na kununua
>habari muhimu
> Motivations na Inspiration mbalimbali
na Mengine mengi kwani kila siku inaboreshwa ili kukidhi mahitaji ya watu kulingana na wakati tuliopo
zaidi katika App hii ya maarifa365 unaweza kushare videos mbalimbali kwa marafiki . hivyo kujifunza mengi.
Maarifa ni mtaji wekeza katika maisha yako.
Last updated on 26/02/2020
katika app hii kuna Forums mbalimbali
Afya na lishe mazoez
ujasiramali na fursa
michezo
Imani/Dini
Kilimo na Ufugaji
Taaluma
wanafunzi na vyuo
Motivations na Insipirations
Ndoa na Familia
Mahusiano
Kuuza na Kununua
Technolojia na Ajira
بارگذاری شده توسط
Sk Khan
نیاز به اندروید
Android 4.1+
دسته بندی
گزارش
Maarifa365
9.4 by Emygidius
26/02/2020