از برنامه APKPure استفاده کنید
نسخه قدیمی APK Soka Letu App را برای اندروید بگیرید
Pata habari zote kuhusu Soka la Tanzania na Dunia kwa ujumla kupitia App.
App ya Soka Letu inakuunganisha na habari motomoto kuhusu Ligi Kuu Tanzania na soka la ulaya kwa ujumla.
Kupitia App hii utakuwa wa kwanza kuhabarika na kuburudika na habari kedekede kuhusu mpira wa miguu,Afrika na Dunia kwa Ujumla
Bila kusahau,tazama live mahojiano na matukio ya kimichezo kupitia channeli pendwa za michezo nchini.
Last updated on 27/01/2021
Sasa Kupitia Soka Letu App, utaweza kutazama video mbalimbali za kimichezo kutoka channeli zote maarufu, bila kusahau Azam TV, na Channel ya Simba TV na Yanga TV buree.
بارگذاری شده توسط
Jean Campos
نیاز به اندروید
Android 5.0+
دسته بندی
گزارش
Soka Letu App
1.0 by Utamu
27/01/2021