از برنامه APKPure استفاده کنید
نسخه قدیمی APK SWALA YA MAITI را برای اندروید بگیرید
Jifunze namna ya kumswalia maiti، kumuandaa maiti na kushona sanda ya maiti.
Hapa utajifunza namna ya kutekeleza ibada ya kumswalia maiti ama swala ya jeneza. Tumeandaa somo hili kwa ajili ya kutoa elimu kwa waislamu ambao wanataka kujifunza swala ya maiti na namna ya kumhifadhi maiti wa kislamu.
Katika somo hili pia utajifunza namna ya kuandaa sanda ya maiti wa kike، kiume na watoto. Pia utajifunza jinsi ya kumtwaharisha maiti wa kislamu.
Tunatarajia kuongeza masomo zaidi kuhusu mada hii ya maiti. Tunatarajia radhi za Allah katika kazi hii na kwako ndugu msomaji tunatarajia dua njema.
Last updated on 19/04/2024
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
بارگذاری شده توسط
Mahmud Nur Alahmed
نیاز به اندروید
Android 4.0.3+
دسته بندی
گزارش
SWALA YA MAITI
3.0.1 by BONGOCLASS
19/04/2024