Use APKPure App
Get WCB Wasafi Fans Download Music app 2018 old version APK for Android
Kwa Habari, Nyimbo, vidéo na paroles za wasanii wa WCB Kila Siku, Télécharger App Hii.
Je wewe ni shabiki wa muziki wa Tanzania?
Je unampenda Diamond Platnumz a.k.a Simba a.k.a Chibu Dangote? Je unapenda muziki wake,maisha yake je?
Unawapenda wasanii waliosainiwa kwenye label ya WCB?
Basi hapa ndio sehemu sahihi ya kupata:
-Audio(mp3) za wasanii wa WCB
-Video zote mpya za wasanii wa WCB
-Updates za wasanii na timu nzima ya WCB
-Lyrics/Mashairi ya nyimbo za wasanii wa WCB Wasafi
Hapa nazungumzia nyimbo za Diamond Platnumz,Rich Mavocco,Harmonize,Rayvanny,Queen Darleen,Lala lava na msanii mpya Maromboso a.k.a Mbosso.
Kaa karibu na App yako uwe wa kwanza kudownload audio za nyimbo zote mpya toka kwa wasanii wetu pendwa.
Pia kama unahitaji promotion ya video au audio yako wasiliana nasi kwani tutakusaidia kuifikisha kwa mashabiki wa muziki mzuri.
Last updated on May 1, 2018
Minor bug fix
Telechargé par
Sann Sint Ko
Nécessite Android
Android 4.1+
Catégories
Signaler
WCB Wasafi Fans Download Music app 2018
1.3 by Mishemishe Inc.
May 1, 2018