Use APKPure App
Get Msomi Maktaba old version APK for Android
Aplikasi Msomi Maktaba dan dicatat sebagai catatan Tingkat kertas terakhir
About Msomi Elibrary
Msomi Maktaba ni E-library app yenye notes za O level na A level kwa kuzingatia syllabus ya Tanzania. Pia Past Papers za Form 2,Form 4 na Form 6 zinapatikana
Sasa soma Past Papers na notes zote za A na O level bure kabisa.
Quality and Readability
Notes za O-level na A-level zipo kwa ubora wa hali ya juu na pia unaweza kusoma offline bila internet connection (inahitaji data connection kwa mara ya kwanza ili kushusha notes na kuzisave automatically kwenye simu yako).
Matumizi
Tumaini elibrary ni suluhisho kwa walimu na wanafunzi wenye mahitaji ya notes za level zote yani A level na o level.
Msomi Maktaba inaweza kutumika kwa mahitaji binafsi tuu pale unapoona content zinakufaa kwaajili ya kusomea au kufundishia.
Notes Zilizopo:
1. Physics O level & Advance - form one, two, three, four five & six
2. Chemistry - zote
3. Biology
4. Mathematics
notes za Pure Mathematics & BAM form five
notes za Pure Mathematics & BAM form six
5. Civics
6. History form 1, 2, 3,4,5&6
7. Geography
8. Kiswahili
9. Commerce - All
10. Computer
11. notes za Literature in english form five
notes za Literature in english form six
12. notes za economics form five
notes za economics form six
Baadhi ya material yanawezekana yasiwepo au yakawa yamekosewa kidogo. Usisite kututaarifu kwaajili ya marekebisho.
Wasiliana nasi kupitia
https://edu.co.tz/library
Kumbuka:
App hii ni bure
Notes za O-level na A-level na past papers zinapatikana offline kupitia Msomi Maktaba pekee
App hii ni rahisi zaidi kutumia
Usomaji na utumiaji kwa ujuma umeboreshwa
App hii ni ya kisasa na imekidhi viwango vinavyokubalika.
App hii imezingatia syllabus ya Tanzania ingawa inaweza pia kutumika katika nchi nyingine.
Last updated on Mar 12, 2019
All notes From Ordinary to Advanced level.
Past Papers, O level and A level
Night theme and day theme support.
App crashes bug fixed
Some Missed Notes were Added
Image zoom bugs fixed
No more crashes on reading page
Diunggah oleh
Eros Antonio
Perlu Android versi
Android 4.2+
Kategori
Laporkan
Msomi Maktaba
Notes and Past Papers8.0-hvconn by KPS - The Latest and Innovative Apps and Games
Mar 12, 2019