Use APKPure App
Get Ajira Portal old version APK for Android
Kuwa Wa Kwanza Kupata Tangazo La Ajira Pindi Tu Linapotoka
Pata Uhakika Wa Ajira Kwa kuwa wa kwanza kupata taarifa za matangazo ya kazi punde tu waajiri wanapotoa Tangazo la kazi.
✔Ajira Portal Inakupatia nafasi za ajira zinazotangazwa na mashirika ya umma,
Sekretarieti ya Ajira, Ajira Portal & Serikali kuu, Halmshauri etc
✔ Ajira Portal Inakupatia matangazo ya ajira za makampuni mbalimbali ikiwemo taasisi za fedha kama NMB CRDB NBC TIGO VODACOM Sekretarieti ya Ajira DSTV STAR TIMES MIGODI SERIKALI N.k
✔ Ajira Portal Inakuwezesha kupata taarifa za ajira mpya, nafasi za kazi sehemu mbalimbali Tanzania kupitia simu yako punde tu Tangazo au kazi inapowekwa mtandaoni
✔Ajira Portal App pekee itakayokupatia makala mbalimbali ikiwemo habari ikiwemo siasa, michezo kama za club maarufu Simba Yanga Ligi kuu ya Vodacom n.k ili kukuwezesha kufurahia tu breaking news and events.
✔Ajira Portal Ni sehemu sahii kwa anayetafuta ajira, nafasi za kazi au anahitaji kubadili ajira yake na lakini pia ni sehemu itakayopatia mambo mengi yenye faida kwako na jamii kwa ujumla
Ajira Zone Download & Share With Others
Last updated on Feb 26, 2021
Stable Version
Fixed Minor Bugs
Caricata da
Noor Ahmad Alshami
È necessario Android
Android 5.0+
Categoria
Segnala
Ajira Portal
1.0 by Gerald Kasanda
Feb 26, 2021