Use APKPure App
Get Jinsi Ya Kufanikiwa old version APK for Android
Scarica l'app hii di Ujue Njia za Kufanikiwa Kwenye Maisha, Kibiashara Na Kielimu
Ni matarajio ya kila binadamu anyeishi chini ya jua na mwezi kutaka kufanikiwa maishani mwake, kuna baadhi ambao hufuzu kufanikiwa na wengine hufeli kabisa.Kila binadamu ameumbwa na kiu ya kufanikiwa katika kila kitu anachofanya. Mafanikio ndio kilele cha mlima mkubwa wa maisha ambao umejengwa kwa misingi na ngazi za mihangaiko na mitihani ambayo unapaswa kuivuka ili upumzike kwenye kilele hicho.
Simulizi kwa Undani
Kwa bahati mbaya, unaposema ‘mafanikio’ wengi hufikiria kuhusu ‘utajiri’. Lakini ukweli ni kuwa kuna tofauti kati ya kuwa tajiri na kufanikiwa kiuchumi. Unaweza kuwa tajiri lakini ukawa bado hujafanikiwa. Kwa kuwa watu wanawaza utajiri kuwa ndio kigezo cha mafanikio hujikuta wakijiingiza kwenye vitendo vya ajabu kwa lengo la kujizolea mali lakini mwisho huwa wanagundua kuwa hawajafanikiwa japo jamii inahisi wamefanikiwa.
Umuhimu wa App hii
Utajua jinsi ya kufanikiwa
Jinsi ya kufanikiwa kibiashara
Jinsi ya kufanikiwa katika biashara
Jinsi ya kufanikiwa kwenye maisha
Jinsi ya kufanikiwa katika umri mdogo
Jinsi ya kufanikiwa kiroho na kimwili
Jinsi ya kufanikiwa kibiblia
Jinsi ya kufanikiwa kimziki
Jinsi ya kufanikiwa katika elimu
Jinsi ya kufanikiwa kielimu
Ushauri wa maisha
Jinsi ya kuishi
Jinsi ya kupata pesa.
Jinsi ya kutumia pesa
Caricata da
Danilo Bronk's
È necessario Android
Android 4.0+
Categoria
Use APKPure App
Get Jinsi Ya Kufanikiwa old version APK for Android
Use APKPure App
Get Jinsi Ya Kufanikiwa old version APK for Android