APKPure Appを使用する
A - LEVEL Past Papersの旧いバージョンをダウンロードすることが可能
一箇所ですべてのAレベルの過去の論文&ノート
Jipatie maswali ya mitihani iliyopita (Past Paper & Quizzes) kwenye simu yako ya mkononi kupitia mobile app ya A - Level Past Papers.
Wanafunzi / walimu wa kidato cha Tano (V) na Sita (VI) wanaweza kupakua mobile app ya A - Level Past Papers kwa ajili ya kupata maswali ya mitihani ya taifa iliyopita kama njia mojawapo ya kujiandaa na mitihani ya Taifa ambayo inafanyika kila mwaka.
Past papers za masomo yote zinapatikana kwenye ii mobile app bure kabisa!!
Last updated on 2018年10月02日
- Books
- Notes & Quizzes
- Form Six Past Papers & Solutions
A - LEVEL Past Papers
1.1.4 by BlackMutu Apps
2018年10月02日