APKPure Appを使用する
Chimple Hisabati - Swahiliの旧いバージョンをダウンロードすることが可能
3〜8歳の子供の識字プログラム
Chimple ni programu iliyopitishwa katika Global learning XPRIZE ambayo hushindanisha timu mbalimbali duniani kutengeneza programu zitakazowezesha watoto katika nchi zinazoendelea kujifunza wenyewe kusoma, kuandika na hesabu ndani ya dakika 15.
Programu ya Chimple imetengenezwa kwa muundo wa kujisomea kwa magemu yenye kumuwezesha mtoto kusoma peke yake kutoka katika hatu ya kutokujua herufi hadi hatua ya kujua kusoma, na kufanya hisabati.
Tunaamini mtoto anaweza akasoma mwenyewe, aidha kwenye makundi (kama darasani) au peke yake (nyumbani, aidha katika maelekezo ya mwalimu, mzazi, ndugu wakubwa au wenyewe.
Last updated on 2020年08月05日
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Chimple Hisabati - Swahili
Varies with device by Chimple
2020年08月05日