APKPure Appを使用する
MUKIの旧いバージョンをダウンロードすることが可能
MUKI ni Mfumo wa Ujifunzaji Kielektroniki
MUKI- Mfumo wa Ujifunzaji Kielektroniki ni mfumo unaowezesha Madiwani, wawezeshaji na wanafunzi wa Chuo cha Serikali za Mitaa kupata maudhui ya kujifunzia popote pale walipo. MUKI itawawezesha Madiwani, wawezeshaji na wanafunzi kufanya yafuatayo;
- Kufikia rasilimali ujifunzaji/maudhui ya mada husika
- Kushiriki kwenye majukwaa ya mijadala
- Kufanya mazoezi mbalimali
- Kuwasiliana baina ya madiwani, wawezeshaji na wanafunzi
- Kufikia maudhui ya mada mahali popote na kwa wakati wowote
- Kupata maudhui ya mada husika hata pasipokuwa na mtandao wa intaneti
- Na mengine mengi ya kidigitali
Last updated on 2018年09月08日
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
MUKI
3.4.2 by The Open University of Tanzania
2018年09月08日