Herufi

na Akili – Akili and Me

1.0.0 by Ubongo
Oct 11, 2021

Herufi 정보

Rudi shule na Akili! Tumia 앱 yake BURE kujifunza HERUFI kwa Kiswahili fasaha!

사사 슐레 지미안자 라스미. Je, wayajua maendeleo ya mwanao? Umemwandaa kufanya vizuri mwaka huu?

App 아직 "Herufi na Akili" itampatia mwanao msingi imara wa Elimu!

App hii ni tafsiri ya Kiswahili ya #Akili's Alphabet: Game #1 ya Elimu Tanzania enye mashabiki wengi, liyopakuliwa zaidi ya mara 10,000 kwenye Play Store!

“Herufi na Akili” inamwandaa mtoto wako kwa ajili ya kwenda SHULE. App hii hutumia michezo na nyimbo kufundisha mwanao jinsi ya kutamka herufi na kumfunza maneno mapya!

Mtoto wako atafurahia ELIMU na app hii ya BURE inayoletwa kwako na waandaaji wa katuni murua ya elimu-burudani ya "Akili and Me."!

행복한 하마, Bush Baby, Little Lion, kiimba na kusikiliza nyimbo za herufi azipendazo kutoka kwenye kipindi cha "Akili and Me."

Hebu mwone anavyocheza kwa raha, akifurahi na marafiki huku akisikiliza HERUFI zinavyotamkwa na kuzifananisha kwenye simu!

Ubongo, ambao pia ni waandaaji wa katuni nyingine maarufu ya "Ubongo Kids", wameitengeneza 앱 hii kwa lengo hasa la kumwezesha mto wako:

파이다

- Atambue sauti za herufi.

- 아파나니쉬 헤루피.

- Ajifunze kwa uwezo na kasi yake mwenyewe.

- 아체즈 콰 우후루.

- 아펜데 쿠지훈자.

빌리비요모

- Jifunze zaidi ya maneno 80 mapya.

- Cheza kwenye mazingira salama kwa ajili ya mtoto.

- Imebuniwa kwa ajili ya watoto wa miaka 3, 4, 5 na 6.

- Haina maksi wala daraja, hivyo mtoto atajifunza bila hofu.

- 니부레 카비사. 하쿠나 가라마 조조테.

- Inafanya kazi BILA MTANDAO.

Ubunifu wa "Herufi na Akili" ni kwa ajili hasa ya watoto, hivyo mwanao ataielewa app hii bila shida na kuanza kuitumia mara moja.

Mwonyeshe jinsi ya kupanga na kuoanisha herufi mara moja au mbili tu, kisha tazama jinsi anavyocheza mwenyewe kwa uhuru kabisa na kwa raha zake!

왕고자 니니? 이파쿠에 사사 BURE!

KIINGEREZA - AKILI의 알파벳

Ahsante kwa kupakua Herufi na Akili. Tumekuandalia pia tafsiri ya app hii inayoitwa "Akili's Alphabet" inayomfundisha mwanao sauti za herufi na maneno mapya kwa lugha ya Kiingereza.

"아킬리의 알파벳" itamwezesha mtoto wako ajifunze lugha ya pili, huku akicheza na kusikiliza nyimbo alizozizoea kutoka kwenye kipindi cha "Akili and Me." Tafuta tu "Akili's Alphabet" hapa Google Play, na utaipata mara moja.

쿠후스 "아킬리와 나"

"Akili and Me" ni katuni murua ya elimu na burudani inayoandaliwa na Ubongo, watengenezaji wa "Ubongo Kids" na programu nyingine nyingi za kujifunza zilizoundwa mahususi kwa ajili yafr watoto wa A

Karibu Lala Land, ulimwengu wa maajabu, ambapo utajifunza na kucheza na Akili! 임바 난바! 체자 헤루피! Cheka, chora, na jifunze Kiingereza na Kiswahili na Akili.

Njoo ufurahi na Little Lion, Happy Hippo na Bush Baby kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1(탄자니아), na Jumamosi pekee saa 3 asubuhi kupitia Citizen TV(케냐).

쿠후수 우봉고

Ubongo ni kampuni ya kijamii ya 탄자니아 inayoandaa vipindi na katuni mahususi za elimu na burudani kwa ajili ya watoto wa Afrika, ikitumia teknolojia za kidijitali kama redio, vya simu, televisheni

Mkakati wetu ni kuwafurahisha wana wa Afrika, tukiwafunza ili wapende kujifunza zaidi kwa uwezo na nafasi yao, wakitumia teknolojia walizo nazo. Njoo utazame vipindi maarufu vya "Ubongo Kids" 또는 "Akili and Me" vinavyofikia zaidi ya nyumba milioni 5.1 barani Afrika.

옹게아 나시

Kama una maswali, maoni, ushauri ama unahitaji msaada wowote, tafadhali zungumza nasi kupitia info@ubongo.co.tz. 트와후라히 사나 우나포투파 마오니야코.

추가 게임 정보

최신 버전

1.0.0

업로드한 사람

Fredi Ocampos

필요한 Android 버전

Android 4.4+

Available on

신고

부적절한 것으로 표시함

더 보기

Use APKPure App

Get Herufi old version APK for Android

다운로드

Use APKPure App

Get Herufi old version APK for Android

다운로드

Herufi 대체 게임

Ubongo에서 더 많은 것을 얻기

발견하다