Use APKPure App
Get MPESA:Pata mda wa maongezi old version APK for Android
Soma habari;Chemsha bong ;Angalia video upate mda wa maongezi kwenye cm yako
MPESA:Pata mda wa maongezi NI app ikuleteayo magazeti yote ya Tanzania katika kiganja chako
cha mikono.Usikose habari za matukio yanayotokea nchini Tanzania na ulimwenguni kote katika magazeti ya Tanzania.
App hii inamwezesha mtumiaji kutoa maoni yake na mitazamo yake juu ya kinachoendelea ulimwenguni.Usikose habari katika magazeti ya:
-Mwananchi
-Raia Mwema
-Rai
-Mwanaspoti
-Mtanzania
-Mwanahalisi na mengineyo......
imejumuisha habari toka vyanzo vya habari vya kimataifa kama BBC,RFI,DW.VOA NA KADHALIKA.
KIMENUKA APP haikuachi nyuma katika habari za udaku toka katika magazeti kama IJUMAA;RISASI.UWAZI NA MENGINEYO.
APP HII ina makala nzuri za kuvutia zinazohusu maisha.hadithi na mikasa na mengineyo mengi mazuri
Shinda mda wa maongezi bure kwa kuangalia video kila siku
habari za kitaifa
habari za kimataifa
habari za michezo
chemsha bongo;magazeti;magazeti yote ya tanzania
habari toka bbc;dw;voa;cri na kadhalika
Last updated on Sep 21, 2018
*whatch bongo movies through BONGO channel
*now users can earn free airtime by whatching videos
*added chatting system
bugs fixed
MPESA:Pata mda wa maongezi
1.4.6 by NDIFUUST MOBILE
Sep 21, 2018