Use APKPure App
Get Video za Vituko old version APK for Android
Enjoy with different funny videos
-Vunjika mbavu kwa video fupi za kuchekesha
-Share video na marafiki whatsapp,facebook,instagram nk
-It is free, funny, friendly, and will be updated daily.
-Vunjambavu ,vituko vya kila aina, video za kuchekesha zote zipo
-Pia Unaweza Download video zote zinazo trend mitandaoni kupitia app hii
Vichekesho toka kwa wasanii maarufu kama Joti,Mzee Majuto,Mkaliwenu,Ebitoke,Mpoki,Masanja,MC Pilipili,Kingwendu,Bambo,Katarina wa Karatu,Madenge,Mkude Simba,Bwakila,Mau,Kinyambe na wengine kibao vinapatikana hapa..!
ZAIDI:
Tutakupatia Vichekesho vipya kila siku na Unaweza kushare Videos, Picha na SMS.
PICHA ZA VICHEKESHO:
Unaweza KuDOWNLOAD picha yeyote inayopatikana kwenye Vichekesho App na ukawanayo kwenye simu yako.
Utapatiwa Majibu ya Maswali Yote yafuatayo, Kama unahitaji kupata..
* Picha mbalimbali za Vichekesho
* Picha kali za vichekesho
* Picha za kuchekesha Ulaya, India, Kenya Pakistani, Uarabuni na Duniani Pote.
* Picha za Vichekesho Download For Free
* Picha za Vichekesho Vya Whatsapp
Unaweza kuset picha yeyote kama Background image ya simu yako na Pia,
Unaweza kushare na marafiki picha kwenye mtandao wowote kama Whatsapp, facebook, twitter, instagram n.k
SMS ZA VICHEKESHO
Katika Section Hii ya Message / SMS za vituko vya kufurahisha,
Unaweza Kutuma SMS ya kichekesho chochote kwa Mpenzi, Rafiki, mshikaji au mtu yeyote ambaye utapenda kushare nae katika mfumo wa message za kawaida kabisaaa
SMS za Utani,
SMS kwa Rafiki za Kumchekesha
Meseji za Vichekesho Vunja mbavu
VIDEO ZA VICHEKESHO.
Vichekesho App inakupa uwezo wa Kuenjoy Video za Vichekesho mbali mbali kama,
Vichekesho Vya Whatsapp
Vichekesho Vya Instagram
Vichekesho Vya Instagram na Vingine kibao!.
Features zitakazoongezwa hivi karibuni katika Update ijayo ni
Kudownload Video za Vichekesho
Download Video za Youtube za vichekesho na vunjambavu.
Pia unaweza kushare video hizo bila ya kuwa na shida yeyote kabisa.
FAVOURITES
You may share these funny text, sms, Videos and images with friends through Whatsapp, facebook, instagram, etc
Be ready to get Daily Udates and free download service integrated in our app.
DISCLAIMER:
We do not own or host any of these Images, SMS or videos. They are publicly available for everyone on YouTube and other Content Sharing Sites.
Use APKPure App
Get Video za Vituko old version APK for Android
Use APKPure App
Get Video za Vituko old version APK for Android