Hakuna pesa ya udalali 100% bure...Usafiri wa kisasa pamoja na wabebaji wazoefu.
Hama2bebe ni programu ya uhamishaji kwa njia ya simu ya rununu (kupangisha nyumba na huduma ya kuhamisha) iliyoundwa haswa kwa watu ambao wanatafuta nyumba ya kupangisha au wahamishaji wa kitaalam na pia kwa wamiliki wa Nyumba ambao wanatafuta jukwaa la kuweka Nyumba zao ili kupata wapangaji.
App hit inawakutanisha moja kwa moja mwenye nyumba na mpangaji na hivyo kuepusha ubabaishaji pamoja na gharama zisizo na msingi.
Na kwa watu wanaoishi Dar es salaam unaweza kuitisha usafiri pamoja na watu wa kukusaidia kuhamisha vitu vyako moja kwa moja kupitia App ya Hama2bebe.