Jenga afya tokomeza umasikini
Jatu ni kampuni ya umma inayo unganisha wakulima maeneo mbali mbali Tanzania na kuwawezesha kulima kisasa, na baada ya mavuno kampuni inanunua mazao yote na kuandaa bidhaa ambazo huuzwa kwa wateja/wanachama moja kwa moja kwa mfumo wa masoko ya mtandao. Mfumo ambao unaondoa madalali katika biashara ya mazao na chakula. Kampuni imesajiliwa kwa mujibu wa sheria ya mwaka 2002 Tanzania kwa usajili namba 130452, kampuni imesajiliwa kama mlipa kodi kwa namba 132-718-008, pia kampuni ina leseni ya biashara yenye nambari 2357184. Bidhaa zote ambazo kampuni inauza, zimethibitishwa na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania (TFDA) kwamba ni chakula bora kwa matumizi ya binadamu.Mengenai Jatu - Afya
Apa yang baru dalam versi terkini 1.0
Last updated on May 29, 2019
Update Terms And Conditions
Maklumat APLIKASI tambahan
Dimuat naik oleh
Zouhou Alkassem
Memerlukan Android
Android 4.0.3+
Category
Tunjukkan Lagi