Alama na michoro barabarani, Udereva wa kujihami, na Maswali na Majibu
Zijue alama na michoro barabarani, ishara za trafiki polis barabarani,
Jifunze udereva wa kujihami, na pasa maswali na majibu ambayo huulizwa katika utahini / mitihani ya udereva na jeshi la polisi barabarani (trafiki)