Use APKPure App
Get Kamusi Ya Methali old version APK for Android
kamusi ya methali za kiswahili na maana yake Offline
Methali zaidi ya elfu tano pamoja na maana zake kwa Kiingereza
More than 5000 with meanings in English
Kamusi ya Methali:
Maana na Matumizi ni programu yenye mkusanyiko mkubwa wa methali za Kiswahili. Kamusi hii imezieleza na kuzifafanua methali kwa mtindo mwepesi na wa kina. Hii ni kamusi yenye mpangilio wa kipekee ambao utamsaidia mtumiaji wa kamusi kuzielewa na kuzilinganisha methali.
Sifa nyingine za kamusi hii ni:
Zaidi ya methali tano
Visawe vya methali vinavyozidi elfu moj a mia nne arobaini.
Ufafanuzi mwafaka wa msamiati uliotumika katika methali.
Maelezo ya kina ya matumizi ya methali.
Muundo na mtindo wa kuvutia.
Hii ni kamusi ya lazima kwa kila mwanafunzi na mpenzi wa Kiswahili popote alipo. Ni kanzi au hazina ya kuenziwa na walimu na wataalamu wa lugha ya Kiswahili
Last updated on Sep 5, 2020
Content updated
UI improvement
Minor bug fixed
Dimuat naik oleh
Muhamad As'ari
Memerlukan Android
Android 4.1+
Category
Laporkan
Kamusi Ya Methali
2.0 by DancyInnnovations
Sep 5, 2020