Pata ujuzi juu ya Ufugaji wa kuku kwa Njia za Kisasa na Kibiashara zaidi
"Fuga Kibiashara" Ni application iliyolenga kukupatia mafunzo juu ya ufugaji wa kisasa wa kuku, Sasa jipatie elimu hii buree kabisa kwa kudownload application hii.Kupitia application hii utaweza kupata masomo kila siku kuhusiana na ufugaji wa kisasa, Tiba mbalimbali za Magonjwa ya kuku, Magonjwa yanayoshambulia kuku kwa sana pamoja na chanjo zake, taarifa za soko la kuku kiujumla pamoja na soko la mayai ya kuku.Mengenai Kuku Kibiashara
Maklumat APLIKASI tambahan
Dimuat naik oleh
Cricket Ds
Memerlukan Android
Android 4.0+
Category
Tunjukkan Lagi