Ini ialah tutorial HTML untuk mereka yang ingin belajar dan yang baru bermula.
Hapa utajifunza kuhusu HTML na jinsi inavyoweza kutumika katika kutengeneza tovuti na blog.
Mafunzo haya yameandaliwa kwa lugha ya kiswahili. App hii itaanza mafunzo haya kutoka mwanzo, yaani level 1 hadi mwisho wa mafunzo.
Pia baada ya mafunzo haya utapata fursa ya kushiriki kwenye project.