Use APKPure App
Get Mapishi old version APK for Android
Jifunze mapishi ya vyakula mbalimbali kwa kiswahili
Mapishi ya Vyakula mbalimbali App, ni App Bora ya mapishi inayokupa Fursa ya kujifunza aina zote za mapishi ya nyumbani kwa lugha ya kiswahili. Ukiwa na App hii ya Mapishi App, pia utaweza kufahamu mapishi mapya yanayotokea kila siku tanzania pamoja na nchi za nje. Mapishi ya vyakula App imetengenezwa kwa ajili ya mtu yeyote mwenye elimu ya mapishi au asiekua na elimu hata kidogo kupika chakula kitamu. Mapishi App, pia ina masomo ya vyakula kama mapishi ya Al hidaya, mapishi ya zanzibar, mapishi ya cake n.k
Unatamani kuwa mpishi mzuri - basi tumia App hii ya Mapishi Ya Vykula mbalimbali.
********
Mapishi ya vyakula mbalimbali App to afrykańska (Tanzania) pyszna aplikacja, która zapewnia krok po kroku przygotowanie i gotowanie pysznego jedzenia dla rodziny lub firmy. Nie musisz być profesjonalnym kucharzem, aby korzystać z tej aplikacji. Aplikacja jest przeznaczona zarówno dla początkujących, jak i doświadczonych kucharzy.
Last updated on Feb 2, 2023
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Przesłane przez
Max Chahchawan
Wymaga Androida
Android 5.0+
Kategoria
Raport
Mapishi
ya Vyakula Mbalimbali1.0 by DiraJumla
Feb 2, 2023