Используйте приложение APKPure
Историческую версию SMS za Mapenzi 2020 ❤ можно получить на Android
СМС за Мапензи 2020 и программа я кисвахили амбаё ни нзури сана я махаба.
SMS za Mapenzi 2020
SMS ya Mapenzi ni Programu ya Kiswahili kwa wale ambao wanapenda uhusiano kwa familia. Programu hii ni ya kipeke Tanzania, Kenya na hata Congo. Ni Programu ambayo ni nzuri sana kwako na marafiki wako.
Familia bila Mapenzi sio familia, uhusiano wowote ni lazima uwe na mahaba tele ili mpate kufurahia upendo wenyu kama watu ambao mnapendana.
Watakao tumia app hii
-Wavulana
-Wasichana
-Wapendanao
-Watu wenye wako kwa ndoa.
Tafadhali jaribu program hii ili upate uhondo wa kisasa.
Last updated on 12/05/2020
-App hii imeongezwa yafuatayo: *SMS za Mapenzi, *SMS za Marafiki, *SMS za Wapendanao, *SMS za Usiku Njema, *SMS za Kubembeleza na kadhalika.
- App hi pia imeboreshwa sana.
Загрузил
Ali Gan
Требуемая версия Android
Android 4.1+
Категория
Жаловаться
SMS za Mapenzi 2020 ❤
1.0 by Alianda
12/05/2020