Use APKPure App
Get Kitabu cha Swala na kuswali old version APK for Android
Haya ni mafunzo ya swala na namna ya kuşwali katika uislamu.
Hiki ni kitabu kitakachokupa mafunzo ya swala, namna ya kuswali kama alivyoswali Mtume Muhammed (s.a.w) na masahaba zake.
Utajifunza:-
1. Jinsi ya kutia udhu
2. Kuondoa najisi
3. kuoga ve kujitwaharisha
4. Şartı za swala
5. Nguzo za Swala
6. Dua za kwenye swala
7. tahiyatu
8. Swala ya Mtume
9. Dua baada ya swala
10. Yanayoharibu swala
11. Sünnet za swala
Kama utaona kuna makosa yeyote ya kiuadhishi ama kifahamu, tafadhali wasiiana nasi.
Last updated on Dec 14, 2024
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Yükleyen
Lükäs FreeFire
Gereken Android sürümü
Android 5.0+
Bildir
Kitabu cha Swala na kuswali
1.0.0 by BONGOCLASS
Dec 14, 2024