下載 APKPure App
可在安卓獲取All TUCASA members Tz的歷史版本
這是計劃為高校kiadvetista的學生聯繫起來
ni programa kwa ajili ya kuwaunganisha wanafunzi wa kiadventista walioko vyuo vikuu na vyuo vya kati pamoja na wale ambao ni wapenzi wa chama hiki , na hata wale ambao waliwahi kuwa wanacha wa TUCASA.
Katika program hii wote tutashiriki katika kujuzana mambo yatusayo katika kujiandaa na ujio wa mara ya pili wa Kristo Yesu na pia kujifunza mambo mbalimbali ya kimaisha kwa ujumla kiroho , kiuchumi , kijamii,kiafya nk.
mambo mbalimbali yanapatikana katika app hii ikiwemo
>Kesha la asubuhi
>mijadala mbalimbali
>maombi.
>habari za kiunabii
>nyimbi za kwaya
>mahubiri
>na mengine mengi kadri Mungu atakavyosaidia uwezekano wa kuyaweka
karibia unapoinstall app hii na pia kama ukipenda mshirikishe mwanaTUCASA au rafiki kuweka app hii katika simu yake, kuwepo kwako ndo faida ya waliopo.
.
>
Last updated on 2018年06月14日
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
All TUCASA members Tz
8.2 by Emygidius
2018年06月14日