Dar24


1.2.6 by DataVision Int.
2021年03月23日 歷史版本

關於Dar24

Dar24媒體媒體本地和海外。

Dar24 Media ni chombo cha habari kilichojikita kuhabarisha jamii kwa lugha adhimu ya Kiswahili ndani na nje ya nchi kupitia tovuti www.dar24.com, Televisheni ya mtandaoni na mitandao ya kijamii. Dar24 Media ilianza rasmi mnamo Agosti, 2014 chini ya mwavuli wa kampuni ya DataVision International.

Dar 24 media ni chombo kinachoendeshwa kwa kufata uweledi na maadili ya uandishi wa habari sambamba na kutengeneza vipindi vyenye ubunifu vinavyolenga kuelimisha, kuibua maswala mbalimbali na kutoa burudani kwa watazamaji.

Tumefanikiwa kutengeneza vipindi vya aina tofauti ambavyo huruka kupitia chaneli yatu ya YOUTUBE @Dar24media na kufanikiwa kupata watamaji wengi, Dar 24 media inakuwa kwa kasi huku tukiwa na lengo la kuanzisha chaneli zingine za Radio na Televisheni.

Tumejikita kwenye kutengeneza maudhui ya vipindi vinavyoweza kusaidia wadau wetu kuwafikia walengwa wa kazi zao kwa haraka.

Hivi ni sehemu ya vipindi tulivyonavyo vikiwa na maudhui tofauti kulingana na watanzamaji walio kusudiwa.

· Dar24 Magazeti

· Mkasa

· Sauti zetu

· Burudani 24

· Mstari kwa Mstari

· Penyeye

· Info Updates

Tembelea Mitandao yetu ya kijamiii

Facebook @Dar24

Twitter @Dar24news

Instagram @Dar24news

YouTube @Dar24media

Tovuti www.dar24.com

最新版本1.2.6更新日誌

Last updated on 2021年04月07日

Fixed youtube video service

更多應用信息

最新版本

1.2.6

上傳者

Eve DL

系統要求

Android 4.1+

舉報

舉報不當內容

更多

下載 APKPure App

可在安卓獲取Dar24的歷史版本

下載

下載 APKPure App

可在安卓獲取Dar24的歷史版本

下載

Dar24相關應用

DataVision Int. 開發者的更多應用

最新發現