下載 APKPure App
可在安卓獲取Mapishi的歷史版本
App hii inafundisha namna ya kuandaa aina tofauti ya vyakula na vinywaji。
Mapishi ni app inayolenga kukufundisha namna ya kutayarisha vyakula pamoja na vinywaji vya aina mbalimbali. Kwa kuanzia tu, tumeweka vyakula vichache katika kila kategori lakini tutakuwa tunaongeza vyakula vingi zaidi kadri tutakavyokuwa tuna~update toleo jipya.