下載 APKPure App
可在安卓獲取Muziki Zamani的歷史版本
聽音樂手機欽佩
Je wewe ni mpenzi wa muziki wa zamani maarufu kama Zilipendwa? Kama ndio basi unahitaji kuwa na App hii kwenye simu yako. Muziki Zamani itakuwezesha kusikiliza nyimbo zilizotamba miaka ya nyuma popote ulipo.
NB: App hii inatumia internet kukuwezesha kusikiliza muziki, lazima simu yako iwe imeunganishwa kwenye mtandao ili uweze kutumia huduma hii.