Bunge la wananchi ni bunge mtandao kwa watanzania wote.
Bunge la wananchi ni mtandao ambao unawawezesha Watanzania wote kujadili maendeleo ya nchi yetu.
"Sisi sote ni Watanzaniai na tunauhuru wa kujadili hoja mbalimbali zinao husu inchi yetu."
Ni mtandao usio egemea chama chochote cha siasa, Lengo kuu ni kushirikiana kwa mawazo kuijenga kwa hoja na kuiinua nchi yetu.
Mara nyingine wawakilishi wetu hawafikishi hoja zetu kama tutakavyo. Tuzijadili hapa na zitafika mahali panapo husika.
TANZANIA YETU LAZIMA ISONGE MBELE.