Mazoezini ni app inayokupa muongozo wa kufanya mazoezi mepesi.
Mazoezini app inalenga katika kukupa muongozo wa namna ya kufanya mazoezi ya viungo. App hii ina aina mbalimbali za mazoezi utakayotakiwa kufanya kwa kufuata maelekezo yaliyotolewa kitaalamu. Katika kila aina ya zoezi utatakiwa kumaliza kwa muda husika ili uweze kuendelea na zoezi lingine.کے بارے میں Mazoezini
معلومات ایپ اضافی
اپ لوڈ کردہ
حكيم رفعت
Android درکار ہے
Android 4.4+
کٹیگری
مزید دکھائیں