Use APKPure App
Get Biblia Takatifu Swahili old version APK for Android
thánh kinh thánh Swahili tải về miễn phí.
biblia takatifu kiswahili download free.
Feature:
- biblia takatifu audio for reading and listening offline wherever you want.
- Weekly verse, you can add your verse in app, like and dislike support.
- Bible text with standard format.
- Easy to read.
- Share your verse to social (facebook, twitter and Email).
Kimsingi vitabu vya Agano la Kale ni vilevile vya Biblia ya Kiebrania, biblia takatifu ya kiswahili ya katoliki, biblia takatifu agano la kale na jipya, ingawa madhehebu ya Kikristo hutofautiana kidogo katika hilo. Ni kwamba wakati wa kutokea kwa Ukristo palikuwa na tofauti ndani ya Uyahudi kuhusu vitabu vilivyohesabiwa kuwa maandiko matakatifu, biblia takatifu agano la kale, biblia takatifu agano jipya. Suala hilo liliondolewa kuanzia mwaka 80 BK wataalamu wa Wayahudi wa huko Jabneh (Jamnia) walipochukua msimamo mkali dhidi ya wafuasi wa Yesu, biblia takatifu audio.
Kwa wakati huo Wakristo walikuwa wamezoea tayari toleo la Kigiriki la maandiko matakatifu yaliyotafsiriwa katika karne ya 2 KK ambalo linajulikana kwa jina la Septuaginta na kuwa na vitabu kadhaa visivyokuwa vimetunzwa katika lugha asili ya Kiebrania wala ya Kiaramu, biblia takatifu swahili bible, biblia takatifu kiswahili cha kisasa, au vilivyoandikwa moja kwa moja katika lugha ya Kigiriki, tafsiri ya ulimwengu mpya, ya kiswahili agano la kale agano jipya, king james.
Hivyo Biblia ya Kikristo ilikuwa na vitabu 7 (viwili vya Wamakabayo, habari njema, ya kiswahili agano lakale na jipya, Yoshua bin Sira, Hekima, Tobiti, Yudith na Baruku, agano la kale na jipya, pamoja na sehemu za Esta na Danieli) visivyokubaliwa baadaye na Wayahudi, kjv, na neno la leo.
Vitabu hivyo 7 vikaja kukataliwa na Martin Luther katika karne ya 16, ya romani katoliki, halafu na Waprotestanti wengi, lakini vinazidi kutumiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kwa jina la Deuterokanoni.
Last updated on Oct 19, 2017
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Được tải lên bởi
Benjamin Ruiz
Yêu cầu Android
Android 4.0.3+
Danh mục
Báo cáo
Biblia Takatifu Swahili
1.0.1 by Jang bible
Oct 19, 2017