Use APKPure App
Get David BSP old version APK for Android
Mahusiano na Afya kutoka kwa madaktari bingwa
Elimu ya afya na mahusiano kiganjani mwako. Tumekusogezea jukwaa hili ili kukupa elimu ya msingi ya afya na mahusiano yako. Wakati mwingine tunakuwa tunakutana na changamoto mbalimbali za kiafya na mahusiano ila tunakosa mtu wa karibu wa kumwelezea changamoto hizi na kupata ufafanuzi wa karibu zaidi.
Kutokana na hili tumeamua kutumia nafasi hiyo kuwafumbua macho juu ya changamoto mbalimbali za mahusiano na afya na namna rahisi za kukabiliana nazo. Katika makala nyingi tumejitahidi kukuandalia njia rahisi zaidi za kukabiliana na changamoto hizi bila kutumia gharama kubwa sana, au kwa kifupi kwa kutumia njia ambazo ni rafiki na haziachi madhara makubwa mwilini.
Ungana na wataalamu wa afya wanaokuletea elimu hii kila siku kiganjani mwako wakiongozwa na David BSP, mtaalamu na mshauri wa afya na mahusiano.
Kama ulikuwa ukitafuta sehemu sahihi ya kujifunza masuala ya afya na mahusiano basi upo sehemu sahihi na tunafurahi kuwa karibu na wewe.
Last updated on Dec 19, 2018
Tumeondoa tatizo ambalo bando la kujiunga lilikuwa halionyeshi.
Sasa unaweza kuwasiliana na Dr David moja kwa moja kwa kubonyeza alama ya "?" juu ya app
Được tải lên bởi
DeN'z ViNo
Yêu cầu Android
Android 4.1+
Báo cáo
David BSP
Mahusiano na Afya3.0.9 by Dau Technology LLC
Dec 19, 2018