Use APKPure App
Get Tenzi Za Rohoni old version APK for Android
kitabu kinachojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 za kumuabudu na kumtukuza Mungu.
Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili.
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.
برنامج Sifa za ni kama zifuatazo: -
• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa kiswahili، kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.
• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine ، pia unaweza kuondoa pale unapoona inafaa.
• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (بفضل hymnserve.com لـ
المرافقات).
• Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenye programu
• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza ala ukiwa kwenye nyimbo zingine.
• Inakuwezesha kuona wimbo uliofungua mara ya mwisho kwa kuangaza.
• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
انافة.
• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.
• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.
محمل
Bruno Bueno
Android متطلبات النظام
Android 5.0+
8.3 MB 06/07/2024
8.3 MB 06/07/2024
7.8 MB 20/11/2023
7.8 MB 20/11/2023
7.8 MB 14/11/2023
7.8 MB 14/11/2023
Use APKPure App
Get Tenzi Za Rohoni old version APK for Android
Use APKPure App
Get Tenzi Za Rohoni old version APK for Android