Usar o APKPure APP
Obter o APK da versão antiga de Matumizi para Android
Ni aplicativo inayotumika kupanga bajeti na kufuatilia matumizi yako ya kila siku.
Ni app inayotumika kupanga na kufuatilia matumizi yako ya kila siku. Utaweza kupanga bajeti ya mwezi na kutunza raarifa za mapato na matumizi.
Itakusaidia kuwa na nidhamu ya pesa na kukuwezesha kupangilia vyema matumizi yako.
Hauitaji kuwa na Intaneti (inatumika offline). Intaneti inatumika wakati wa kujisajili na wakati wa kufanya Backup.
Taarifa (data) zako za Matumizi zinatunzwa kwenye simu yako tu. Hakuna mtu anaweza kuziona zaidi yako wewe.
Asante na Karibu Sana !
Enviado por
Backbone
Requer Android
Android 4.1+
Categoria
Usar o APKPure APP
Obter o APK da versão antiga de Matumizi para Android
Usar o APKPure APP
Obter o APK da versão antiga de Matumizi para Android