下載 APKPure App
可在安卓獲取Matumizi的歷史版本
倪應用inayotumika kupanga bajeti吶kufuatilia matumizi夜光雅基拉四庫。
Ni app inayotumika kupanga na kufuatilia matumizi yako ya kila siku. Utaweza kupanga bajeti ya mwezi na kutunza raarifa za mapato na matumizi.
Itakusaidia kuwa na nidhamu ya pesa na kukuwezesha kupangilia vyema matumizi yako.
Hauitaji kuwa na Intaneti (inatumika offline). Intaneti inatumika wakati wa kujisajili na wakati wa kufanya Backup.
Taarifa (data) zako za Matumizi zinatunzwa kwenye simu yako tu. Hakuna mtu anaweza kuziona zaidi yako wewe.
Asante na Karibu Sana !