下载 APKPure App
可在安卓获取Mjamzito的历史版本
Mjamzito妮programu雅捷联惯inayokupa taarifa kuhusinana呐妈妈mjamzito。
Mjamzito ni programu ya simu inayokupa taarifa mbalimbali kuhusinana na mama mjamzito. Matumizi ya programu hii yatakupa ufahamu wa awali kwa kina namna ya kulea mimba na hatimaye kujifungua. Zijue njia salama za kutafuta mtoto, dalili za ujauzito, matunzo kwa mama mjamzito, vyakula vya mama mjamzito, viashiria vya hatari wakati wa ujauzito na taarifa mbalimbali zitakazopelekea ufurahie ujauzito wako.Last updated on 2016年07月24日
Mwonekano Mpya
Imeongezewa Kurasa
Mjamzito
1.1.5 by Baraka Oscar Mung'ong'o
2016年07月24日