Use APKPure App
Get Mjamzito old version APK for Android
Mjamzito ni programu ya simu inayokupa taarifa kuhusinana na mama mjamzito.
Mjamzito ni programu ya simu inayokupa taarifa mbalimbali kuhusinana na mama mjamzito. Matumizi ya programu hii yatakupa ufahamu wa awali kwa kina namna ya kulea mimba na hatimaye kujifungua. Zijue njia salama za kutafuta mtoto, dalili za ujauzito, matunzo kwa mama mjamzito, vyakula vya mama mjamzito, viashiria vya hatari wakati wa ujauzito na taarifa mbalimbali zitakazopelekea ufurahie ujauzito wako.Last updated on Jul 24, 2016
Mwonekano Mpya
Imeongezewa Kurasa
Uploaded by
Kariane Raissa Santos
Requires Android
Android 2.3.4+
Category
Report
Mjamzito
1.1.5 by Baraka Oscar Mung'ong'o
Jul 24, 2016